Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 490
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kisimamo cha Usiku kwa Anwani “Kamwe Hatutalegeza Msimamo na Kamwe Hatutasitisha Mapigano!”
Baada ya kuutafuta mwandamo wa mwezi wa Shawwal katika mkesha huu uliobarikiwa wa Jumanne, mwandamo wa mwezi mpya haujathibitishwa kulingana na mahitaji ya Shariah. Kwa hivyo, kesho Jumanne ni kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan, Mwenyezi Mungu akipenda, na siku inayofuata kesho Jumatano, itakuwa siku ya kwanza ya mwezi wa Shawwal na siku ya kwanza ya Idd al-Fitr iliyobarikiwa.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H
Hizb ut Tahrir / Malaysia: Shughuli za Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Shawwal 1445 H.
Hata kama Waislamu wa Pakistan wanajiandaa kwa ajili ya furaha ya Idd, akili zao zinazunguka mara kwa mara kwa ajili ya masaibu ya Waislamu wa Gaza.
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Iregesheni Ramadhan katika Njia Yake ya Mwanzo”
Enyi Waislamu wa Pakistan! Lazima tuyatake majeshi yetu yasimamishe tena Khilafah na kuhamasika kwa ajili ya Gaza. Lazima tumkumbushe kila afisa wa jeshi kwamba tunajua juu ya malipo makubwa yanayongojea shujaa ambaye atatoa nusra yake ya kimada kwa ajili ya kusimamisha tena utawala kwa Uislamu.
Ni juu ya majeshi ya Waislamu kukusanyika kwenda kuinusuru Gaza, ili wawe sako kwa bako na Umma wa Kiislamu katika kuinusuru Gaza.