Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 520
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kalima ya kutaka kupinduliwa kwa viongozi wa vikundi, kuregeshwa kwa maamuzi ya kijeshi, na kufunguliwa kwa mipaka.
Pendekezo la hivi majuzi la Mswada wa Sheria ya Mufti 2024 (Maeneo ya Shirikisho) limezua mjadala mkali kote nchini Malaysia. Tangu kusomwa kwake kwa mara ya kwanza mwezi Julai, Mswada huo umesonga mbele, ukikaribia kusomwa mara ya pili na ya tatu kabla ya kuidhinishwa kamili na bunge. Mwanzo wa Mswada huu unatokana na mjadala unaoendelea kuhusu Ilm al-Kalam (Usomi wa Kiislamu), ambao umeongezeka hivi karibuni nchini Malaysia.
Enyi Waislamu!... Hakika Mayahudi sio Watu wa Vita!
Kilichowapa ujasiri Mayahudi Kusubutu kufanya walichofanya ni kwamba hawakupata nchi jirani zenye kukabiliana nao!
Enyi askari katika Nchi za Waislamu... Je, Hakuna Miongoni mwenu Mtu Muongofu?
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Sudan ilifanya mkutano na waandishi wa habari mnamo siku ya Jumamosi tarehe 23 Rabi’ al-Akhir 1446 H sawia na 10/26/2024 M katika afisi yake mjini Port Sudan, wenye kichwa: “Mkataba wa Entebbe, Bwawa la Al-Nahdha, na watawala kupuuza maslahi muhimu ya Umma”.