Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Mabango ya Ramadhan 1443 H - 2022 M
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaendesha kampeni ya mitandao ya kijamii katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaendesha kampeni ya mitandao ya kijamii katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Kamati maalumu za kutafuta mwandamo wa mwezi zilizoundwa na Hizb ut Tahrir Malaysia ziliutafuta mwezi mwandamo wa Ramadhan uliobarikiwa wa mwaka huu 1443 H - 2022 M katika zaidi ya maeneo kumi tofauti kote nchini Malaysia.
Matukio ya halaiki yaliyofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo kwa ajili ya kuadhimisha miaka 101 ya kuangamizwa kwa Dola ya Khilafah, ili kuhuisha Umma wa Kiislamu ili stenyn motisha yao ya kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida.
Katika mkusanyiko mkubwa wa taadhima uliofanywa na Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina mnamo siku ya Jumatano, Machi 23, 2022, watu wa Palestina walitangaza kukataa kata kata Sheria ya Ulinzi wa Familia inayotokana na CEDAW, ambayo Mamlaka ya Palestina inakusudia kuiidhinisha.
Kwa kuzingatia mabishano yanayoendelea kati ya vyama mbalimbali vya kisiasa nchini, kuhusu umbile la mfumo wa kisiasa nchini Tunisia na katiba inayoudhibiti,
Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na unyakuzi wa umbile la Kiyahudi wa ardhi hiyo iliyobarikiwa na mashambulizi yake ya kuendelea dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuzingirwa kwake na mashambulizi ya miaka 16 ya Ukanda wa Gaza,
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H,
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi",
Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir / Ardhi Tukufu ya Palestina kilifanya amali anuwai, za ana kwa ana na mtandaoni, kukumbuka kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah zenye kichwa, "Ni Wakati sasa wa Kudhihiri Dini yetu na Kunyanyuliwa Bendera ya Mtume wetu".
Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa kongamano lake la Khilafah la kila mwaka kwa anwani: "Kuamiliana na Watu wenye Mawazo Tofauti Tofauti ndani ya Dola ya Khilafah" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu (Khilafah)