Uingereza: Kongamano la Kila Mwaka "Kurudi kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kiislamu"
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uingereza: Kongamano la Kila Mwaka "Kurudi kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kiislamu"
Uingereza: Kongamano la Kila Mwaka "Kurudi kwa Mfumo wa Kiulimwengu wa Kiislamu"
Al-Waqiyah TV: Ujumbe wa Haraka "Risala kwa Maafisa na Wanajeshi!"
Mimbari ya kila wiki ya Mashababu wa Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan – eneo la Omdurman, Kaskazini – ilifanywa mnamo siku ya Ijumaa Oktoba 2, 2020, katika Soko la Sabreen chini ya anwani: "Wimbi la Usawazishaji Mahusiano … Je, watawala wa Sudan watajiunga na kundi la wanaodhihirisha khiyana kubwa?"
Kalima ya Ustadh Nijmadeen Chaiben, Mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia Kuhusu Makubaliano ya Khiyana ya Kijeshi Baina ya Tunisia na Amerika.
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 49 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Vedat Kurnaz alijitolea maisha yake kama Muislamu mwenye ikhlasi na mwaminifu aliyefanya kazi ya kuregesha tena maisha kamili ya Kiislamu,
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu msimamo wa khiyana wa viongozi wa Waislamu katika upande wa umbile vamizi la Kiyahudi.
Kabla ya kikao cha majadiliano kilichoandaliwa na jarida la Al-Tahrir mnamo Alhamisi 01 Oktoba 2020 saa kumi jioni katika makao makuu ya Hizb ut-Tahrir yaliyo katika makutano ya Soukra-Ariana chini ya anwani:
Kwa kuzingatia mateso makali waliyoyapata watu wetu nchini Sudan, ambao waliondolewa katika maeneo yao na mafuriko na mvua kubwa iliyoyakumba majimbo 17 nchini Sudan,
Vazi la mwanamke wa Kiislamu, ima Khimar, jilbab au Niqab kamwe huwa haliko mbali na vyombo vya habari au kurunzi ya kisiasa ndani ya dola za kisekula.