Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 421
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Jumamosi, 9 Oktoba 2021, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina iliandaa visimamo vitatu mjini Ramallah, Hebron na Tulkarm, ambapo ilitoa wito kusonga kwa uhalisi kwa majeshi ya Waislamu kujibu uamuzi wa uvamizi wa kuwaruhusu Wayahudi kutekeleza ibada zao katika makawanda ya Msikiti wa Aqsa Uliobarikiwa.
Ulimwengu ulishuhudia, kwenye mitandao ya kijamii, kipande cha video cha kutisha kinachoonyesha polisi wa India wakiwafyatulia risasi wakaazi wa kitongoji cha Waislamu, katika jimbo la Assam kaskazini mashariki mwa India,
Kwa kuzingatia masaibu wanayopitia Waislamu katika biladi tofauti tofauti ya ukandamizaji, umasikini, mauaji, kuhama makaazi, mauaji ya halaiki, na uchafuzi wa heshima kwa Rohingya, Uyghur, Kashmir na India, na hali duni ya maisha ya mamilioni ya wakimbizi katika kambi na kunyimwa kwao wengi mahitaji ya kimsingi nchini Syria, Yemen na Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kwengineko katika upande mmoja
Ripoti ya video ya Warsha iliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Atma viungani mwa Idlib kama sehemu ya msururu wa warsha zilizoandaliwa eneo la kaskazini mwa Syria lililokombolewa ili kueneza utambuzi wa kisiasa kati ya watu, na zilikuwa kwa anwani:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan imeendeleza amali umma inazozifanya katika maeneo mbalimbali ya nchi kutafuta rai jumla yenye kutambua hukmu za Uislamu na masuluhisho yake yanayohusiana na nidhamu tofauti tofauti za maisha,