Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Kafar Takharim cha Kuinusuru Tafas huko Daraa
- Imepeperushwa katika Minbar Ummah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kikundi cha watu wa Kafar Takharim, miongoni mwa wahamiaji kutoka Daraa, na wakaazi wa Kafar Takharim, walijitokeza baada ya swala ya Ijumaa, katika kisimamo ambacho kiligeuka kuwa maandamano ambayo yazagaa mabarabarani kuunusuru mji wa Tafas huko Daraa.



