Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Tunamuomba Mwenyezi Mungu (swt) Amkubali Ismail Haniyeh katika Mashahidi!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tunamuomba Mwenyezi Mungu (swt) Amkubali Ismail Haniyeh katika Mashahidi, wala hatumtakasi mtu yeyote kwa Mwenyezi Mungu, na yeye siye shahidi wa kwanza katika vita hivi wala hatakuwa wa mwisho.