Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Pakistan: Kampeni ya Twitter "Kuikomboa Kashmir ni Faradhi ya Kisheria"

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa anwani "Kuikomboa Kashmir ni Faradhi ya kisheria!" Ili kuthibitisha uhakika wa kisheria kuhusu kadhia ya Kashmir, kwamba ni ardhi za Kiislamu zinazokaliwa na Dola kafiri ya Kibaniani, na suluhisho la kisheria lililoamrishwa na Mwenyezi Mungu (swt) ni tangazo la jihad hadi ikombolewe wa kila shubiri yake na nchi nyengine zote za Waislamu zilizokaliwa. Kampeni hii itakamilika kwa tufani ya Twitter baada ya Maghrib siku ya Jumamosi 07 Agosti 2021 M saa 22:00 Usiku kwa saa za Pakistan, Mwenyezi Mungu (swt) akipenda.

Ewe Mwenyezi Mungu turudishie ngao yetu, Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume… Allahumma Amin.

#پاک_فوج_حرکت_میں_آؤ_کشمیر_کو_آزاد_کراؤ

Jumamosi, 28 Dhu al-Hijjah 1442 H sawia na 07 Agosti 2021 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu