- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Kongamano la kila Mwaka la Khilafah: “Kufeli kwa Serikali ya Kisasa na Kutoepukika kwa Khilafah”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia itafanya kongamano lake la kila mwaka la Khilafah siku ya Jumamosi, 26 Aprili 2025, katika makao makuu ya makongamano kwenye Makutano ya barabara ya Sakra katika mji mkuu, Tunis, chini ya kichwa:
“Kufeli kwa Serikali ya Kisasa na Kutoepukika kwa Khilafah”
Mjumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia
Jumamosi, 28 Shawwal 1446 H sawia na 26 Aprili 2025 M
- Mwaliko wa Kongamano la Khilafah la kila Mwaka -
Mwaliko 1
Mwaliko 2
- Alama Ishara za Amali -
#أقيموا_الخلافة
#كيف_تقام_الخلافة
ReturnTheKhilafah#
#YenidenHilafet
#خلافت_کو_قائم_کرو
#TurudisheniKhilafah
Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia
Tovuti Rasmi ya Jarida la Tahrir
Ukurasa wa Facebook wa Jarida la Tahrir