Jumamosi, 19 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir/ Uholanzi: Semina 

Maandamano ya Halaiki yenye Kichwa "Ikomboeni Palestina!"

Kwa kuzingatia ushujaa ulioonyeshwa na Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea, na kudumu katika kushambulia kwake Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake na ulipuaji wake mabomu ulioendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa maandamano ya halaiki yenye kichwa "Ikomboeni Palestina" katika mji wa Amsterdam mnamo Jumapili 22/10/23 saa nane adhuhuri na kukamilika kwa kuyaomba majeshi na viongozi wake kutaharaki na kusonga kwa ajili ya kuikomboa Ardhi iliyobarikiwa ya Palestina.

Jumapili, 07 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 22 Oktoba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#ArmiesToAqsa

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

Aqsa_calls_armies#

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uholanzi:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Facebook: Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Twitter: Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Instagram: Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu