Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Makongamano na Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka Mia Miladiya ya Kuvunjwa Khilafah!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mnasaba wa miaka 100 M (103 H) ya makafiri wakoloni kwa msaada wa makhaini wa Kiarabu na Kituruki, kuivunja dola ya Kiislamu (Khilafah Uthmani) na kuuondoa mfumo wa utawala katika Uislamu (Khilafah) kutoka katika maisha ya Umma wa Kiislamu, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki inaandaa msururu/ wa makongamano, semina na mikutano mikubwa katika ngazi ya Uturuki.