Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Kisimamo mbele ya Ubalozi wa Marekani “Niko hapa kama Muislamu!”
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 33,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa amali mbele ya Ubalozi wa Marekani jijini Ankara chini ya kichwa:
“Niko hapa kama Muislamu… Mfurusheni Myahudi Bliken!”