Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahriri / Wilayah Uturuki

Kongamano la Kiuchumi Jijini Bursa

 "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!"

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Utamaduni cha Merinos jijini Bursa lenye kichwa "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!" Ndugu waliohadhiri ni; Ustadh Serdar Yilmaz, Ustadh Musa Beyoglu, Ustadh Abdullah Imamoglu, ambapo walionyesha suluhisho sahihi la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi unaoikumba Uturuki.

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 13 Jumada Al-Akhir 1443 H sawia na 16 Januari 2022

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu