- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Kongamano la kiuchumi Mjini Adana "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa kiuchumi!"
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Elimu ya Umma cha Yorgir mjini Adana kwa anwani "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi!" Kongamano hilo ambalo liliwasilishwa na UstadhFurkan Turamantkin, lilianza kwa hotuba ya ufunguzi ya Ustadh Aziz Terazi, na kufuatiwa na hotuba ya Ustadh Musa Beyoglu, ambapo alielezea kwa uwazi sababu halisi za migogoro tunayopitia na suluhisho la Kiislamu. Baada ya hotuba yake, Ustadh Abdullah Imamoglu alichukua nafasi hiyo ambapo aligusia masuluhisho ya mfumo wa uchumi wa Kiislamu na namna ya kuyatekeleza, na kwamba kuokoka kutokana na mgogoro na matatizo yaliyopo hakutawezekana isipokuwa kwa nidhamu ya kiuchumi ya Kiislamu haswa na mfumo wa Kiislamu kwa ujumla.
Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa
Jumamosi, 26 Jumada al-Akhir 1443 H sawia na 29 Januari 2022 M
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/2141.html#sigProId94154b035d
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki