- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Semina Mjini Sancaktepe Istanbul Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", na sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Muharram 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi mjini Sancaktepe Istanbul.
Ustadh Musa Beyoglu alitoa mada yenye kichwa "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta 10". Baada ya uwasilishaji, kipindi cha maswali na majibu kilifanyika na maoni ya wageni juu ya suluhisho lililopendekezwa kusikilizwa. Washiriki walitoa michango muhimu kwa maswali, maoni na maoni yao, Musa Beyoglu alijibu maswali yaliyoulizwa.
Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa
Jumapili, 19 Rajab Al-Muharram 1443 H sawia na 20 Februari 2022 M
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/2192.html#sigProId1e2f2b58a7
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki