- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Kisimamo katika mji wa Ankara cha Kuwanusuru Watu wa Jenin!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kisimamo katika mji wa Ankara, baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Haji Bayram katika eneo la Ulus, cha kuwanusuru ndugu zetu Waislamu katika mji wa Jenin al-Qassam, ambapo umbile nyakuzi la Kiyahudi lilipenya na zana zake zote za kijeshi na Mujahidina wanyoofu miongoni mwa watoto wa Waislamu wakakabiliana nalo kwa vifaa vyepesi ili kuzuia uadui wake wa kikatili, hivyo wakauawa kishahidi na kujeruhiwa miongoni mwao kwa makumi. Wakati wa kisimamo hicho, Ustadh Abdullah Imamoglu alisoma taarifa kwa vyombo vya habari yenye kichwa "Damu ya Waislamu inayotiririka huko Jenin, ole wao watawala wanao halalisha mahusiano nalo!"
Kwa maelezo zaidi Bonyeza Hapa
Ijumaa, 19 Dhu al-Hijjah 1444 H – 07 Julai 2023 M
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/3357.html#sigProIde5bffc6719
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki