- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Uturuki:
Amali Pana za Kukinusuru na Kukiombea Nusra Kimbunga cha Al-Aqsa!
Kwa kuzingatia ushujaa ambao mujahidina mashujaa walioupata katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi linaloendelea na mashambulizi yake ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa kila wakati, uzingiraji wake wa kuendelea wa ukanda wa Gaza tangu miaka 17, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali pana katika miji 10 mikuu nchini Uturuki chini ya kichwa:
"Nendeni Al-Aqsa Enyi Majeshi! Nusra kwa Kimbunga cha Al-Aqsa ... Ikiwa Sio Sasa, basi Lini?"
Kuwanusuru na kuomba nusra kwa ajili ya Waislamu katika Ardhi ya Iliyobarikiwa (Palestina) na kuyalingania majeshi ya Waislamu kuvunja vizuizi ambavyo watawala wa Ruwaibidha wameviweka katika kambi zao na kutaharaki mara moja kukinusuru (Kimbunga cha Al-Aqsa) na ukombozi wa Msikiti wa uliobarikiwa wa Al-Aqsa kutoka kwa vifungo vya Mayahudi wanyakuzi.
Kwa hivyo kuweni pamoja nasi leo na shirikini nasi katika ujira, na Mwenyezi Mungu (swt) atatunusru hata kama ni baada ya muda.
Jumapili, 23 Rabi` Al-Awwal 1445 H - 08 Oktoba 2023 M
- Sehemu ya Amali ya Ankara -
- Picha za Amali kutoka Miji Tofauti Tofauti -
- Click to open image! Click to open image!

https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/3496.html#sigProIdec594ca1bf
- Wakati na Mahali -
◦ Adana | Ulucami
İkindi namazı sonrası
◦ Ankara | Hacı Bayram Camii
Öğle namazı sonrası
◦ Aydın | Bey Camii karşısı
İkindi namazından sonra
◦ Bitlis | Tatvan PTT önü
Saa 16:00
◦ Bursa | Ulucami Meydanı
Saa 14:00
◦ Diyarbakır | Ulucami
Öğle namazı sonrası
◦ Gaziantep | Yeşilsu Meydanı
Saa 14:00
◦ İstanbul | Fatih Camii
Öğle namazı sonrası
◦ İzmir | Konak Meydanı Saat Kulesi önü
Öğle namazından sonra
◦ Şanlıurfa | Dergâh Camii
Öğle namazı sonrası
- Alama Ishara za Amali -
#طوفان_الأقصى
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki