Jumatano, 25 Shawwal 1446 | 2025/04/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Erdogan “Muislamu” Alishindwa katika Uchaguzi wa Rais na Erdogan Mwanademokrasia

Raia wa Uturuki katika uchaguzi wa Mei 28 walionyesha utashi na azma ya kuunga mkono njia ya maendeleo zaidi ya nchi. Hayo yamesemwa na Rais Recep Tayyip Erdogan, akiwahutubia wananchi waliokusanyika mnamo Jumatatu usiku kwenye Ikulu ya Rais jijini Ankara, tovuti ya shirika la habari la Anadolu inasema.

Soma zaidi...

Ni Nani Atakayekomesha Mauaji ya Waislamu na Ubomoaji wa Misikiti Nchini Ethiopia

Mnamo tarehe 2 Juni, kufuatia swala za Ijumaa, Waislamu 3 waliuawa na vikosi vya usalama vya Ethiopia nje ya Msikiti Mkuu, Msikiti wa Anwar jijini Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia wakati wa maandamano ya amani ya kupinga uvunjaji wa mamlaka wa misikiti kadhaa nje ya mji na mipango kuvunja mengine zaidi.

Soma zaidi...

Erdogan Alishinda Uchaguzi na Kuregea Madarakani, Lakini vipi kuhusu Uislamu!

Baraza Kuu la Uchaguzi (YSK) lilitangaza matokeo ya mwisho ya raundi ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika nchini Uturuki Mei 28. Kufuatia hayo, mgombea wa Muungano wa Wananchi na Rais Recep Tayyip Erdogan alishinda uchaguzi huo kwa asilimia 52.18 ya kura. Kemal Kilicdaroglu, mgombea wa Muungano wa Kitaifa, alipata asilimia 47.82 ya kura. Rais Erdogan atasalia madarakani kwa miaka mingine 5 hadi uchaguzi ujao. (Mashirika)

Soma zaidi...

Vijana wa Kashmir wanapotea katika Giza la Uraibu wa Madawa ya Kulevya bila Nuru ya Khilafah

Mnamo tarehe 5 Juni, BBC iliripoti juu ya "ongezeko la kutisha la matumizi mabaya ya dawa za kulevya huko Kashmir". Wajana wa kiume zaidi na zaidi wanaweza kupatikana nje ya kituo pekee cha kutibu uraibu katika eneo la Kashmir linalosimamiwa na India, wakiwa kwenye foleni na wazazi wao kupokea dawa kutoka kwa Taasisi ya Afya ya Akili na Sayansi ya Nyuroni (IMHANS) ili kusaidia kupunguza dalili zao za kujiondoa katika uraibu na kuzuia maambukizi ya magonjwa ya kuambukiza.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu