Uingereza Yatangaza Kufilisika, Kwa Kukubali Kutawaliwa na “Watumwa” wa Miaka ya Jana
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rishi Sunak ametoa ombi la umoja katika kukabiliana na "changamoto kubwa ya kiuchumi," baada ya kushinda kinyang'anyiro cha kuwa waziri mkuu mpya. Alishinda kinyang'anyiro cha uongozi wa Tory baada ya mpinzani wake Penny Mordaunt kushindwa kupata uungwaji mkono wa kutosha kutoka kwa wabunge.