Watoto Watakuwa na Njaa Daima chini ya Nidhamu za Kibepari
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mgogoro wa gharama ya maisha unapozidi kuongezeka nchini Uingereza, umakini umegeukia kiwango cha njaa kinachoathiri watoto nchini humo. Vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuwa njaa ya watoto ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili shule nchini Uingereza.