UFSB ya Tatarstan iliitikia Ombi la Putin kuhusiana na Bodi ya FSB
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Februari 20, 2020 katika mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya FSB alisema:
Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Februari 20, 2020 katika mkutano mkuu wa mwaka wa Bodi ya FSB alisema:
KHAN YOUNIS - GAZA: Mohammed Al-Naem alipigwa risasi na kufa mnamo Jumaapili na jeshi la Israeli, ambalo lilimshitaki kwa kutega bomu karibu na mpaka wa uzio wa mashariki ya Khan Younis yenye kuzingirwa na Mpaka wa Gaza.
Mnamo 3 Februari 2020, katika kipindi cha mkutano uliofanyika na waandishi wa habari nchini Uzbekistan,
Wiki kadhaa zilizopita mvua nyingi iliweza kunyesha nchini na vyombo vya habari vimeripoti kuzidi kwa hali mbaya na vifo nchini kote ikijumuisha maeneo ya Kati, Pwani na Kaskazini mashariki huku wajuzi wakitoa ilani ya kukithiri kwa hali mbaya.
BBC iliripoti kuhusiana na kupambamoto kwa janga la Rohingya huku idadi ya wanaotarajiwa kushtakiwa dhidi ya serikali ya Myanmar ikiwasilishwa katika mahakama za kimataifa na Venezuela na Gambia.
Viongozi wa Serikali zaidi ya 40 wa nchi za Afrika walihudhuria Kongamano la kwanza baina ya Afrika na Urusi katika mji wa Sochi.
Mtoto wa miaka 9 wa Syria kwa jina Wael al-Saud, aliyekuwa anaishi katika wilayah ya Kocaeli’s Kartepe, alijitoa uhai kwa kujinyonga katika mlango wa makaburi.
Viongozi wa dunia waliomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Zimbabwa Robert Gabriel Mugabe aliyefariki huko Singapore mnamo 6 Septemba 2019 akiwa na umri wa miaka 95.
Rais Uhuru Kenyatta mnamo Jumatatu asubuhi, alizindua rasmi usafirishaji wa mapipa 200,000 ya kwanza kutoka Kenya.
Mmoja kati ya waathiriwa sita wanao languliwa kwa ajili ya kufanyishwa kazi kwa lazima, dhulma ya kimapenzi na sababu nyinginezo kama vile omba omba nchini Kenya ni mtoto, shirika la uchunguzi la ‘Nation Newsplex’ limefichua.