Ijumaa, 24 Rabi' al-awwal 1446 | 2024/09/27
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ukweli wa Kura ya Maamuzi ya Mradi wa Kujitoa kwa Uingereza (Katika Muungano wa Ulaya)!

Bunge la Uingereza mnamo 16/1/2019 liliupigia kura mswada wa kutokuwa na imani na serikali ya May, lakini yeye akashinda: (Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May aliponea kushindwa mnamo Jumatano katika bunge la House of Commons kufuatia mswada wa kutokuwa na imani na serikali yake uliowasilishwa na chama cha upinzani cha Labour.

Soma zaidi...

Mapya Yanayojiri Katika Uwanja wa Syria Kuanzia Tangazo la Erdogan la Mpango Wake wa Kushambulia Mashariki mwa Furat Hadi Tangazo la Trump la Kuviondoa Vikosi Vyake Kutoka Syria!

Taarifa za Erdogan kuhusu shambulizi juu ya mashariki ya Furat, kisha kuakhirisha shambulizi hilo, kisha kutangaza upya shambulizi hilo, nk., na kisha kukimbilia kwa Urusi kupangilia operesheni hizo, baada ya ombi la Wakurdi la kulindwa kutokana na serikali ya Syria kufanyika.

Soma zaidi...

Msisitizo wa Trump Juu ya OPEC, Hususan Juu ya Saudi Arabia, ili Kuongeza Uzalishaji na Kupunguza Bei za Mafuta

Mnamo 2 Oktoba 2018, wakati wa mkutano wa uchaguzi wa muhula wa kati katika eneo bunge la Mississippi, Trump aliitishia Saudi Arabia na kuwaonyesha wafuasi wake kuwa alikuwa akipambana na bei za juu za mafuta: “… Na vipi kuhusu mikataba yetu ya kijeshi ambapo tunalinda mataifa tajiri na hatulipwi, vipi kuhusu hiyo mali “kwa maana ya mafuta”? Ambayo pia inabadilika… Tunailinda Saudi Arabia.

Soma zaidi...

Uhakika wa Misimamo ya Kimataifa na ya Kieneo Juu ya Vita vya Idlib

Serikali ya Syria imepeleka majeshi yake kusini mwa mkoa wa Idlib, na Urusi imetangaza kuwa tayari kupigana vita vya Idlib, “vita vikuu vya mwisho!” nchini Syria, na imefanya mazoezi ya kijeshi; makubwa zaidi kufanya katika historia yake ya hivi karibuni mashariki mwa bahari ya Mediterrania. 

Soma zaidi...

Kuanguka kwa Lira ya Uturuki

Kuanguka huku kumeongezeka baada ya Amerika kutoza ushuru wa forodha juu ya madini ya chuma na alumini yanayoagizwa kutoka Uturuki, ikiongezewa na kadhia ya kuwekwa kizuizini kwa mchungaji wa kidini wa Kiamerika nchini Uturuki tangu 2016, ambaye Amerika imetaka kuachiliwa kwake … ni sababu gani za yote haya? Na je, mgogoro huu waelekea wapi?

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu