Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Makala ya Filamu “Mustakabali wenye Bishara Njema kutoka Karne Iliyopotea!"
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mnasaba wa miaka 103 H ya mkoloni kafiri, kwa msaada wa wasaliti wa Kiarabu na Kituruki, kuivunja dola ya Uislamu (Khilafah Uthmani) na kukomeshwa kwa mfumo wa utawala katika Uislamu (Khilafah) kutoka katika maisha ya Umma wa Kiislamu, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Uturuki ilitoa filamu ya makala yenye kichwa: “Mustakabali wenye Matumaini kutoka Karne Iliyopotea!”