Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 58 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 58 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 58 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Kumtukana Mtume (ﷺ) kamwe hakuwezi kuwa na mjadala kwa Waislamu kote duniani na “Uhuru wa Kuzungumza” si lolote ila ni kwa manufaa ya kisiasa tu.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Sahara viungani mwa Allepo kupinga matamshi ya khiyana ya serikali ya Uturuki ya kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad kwa anwani:
Kisimamo kilicho andaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Kafr Takharim viungani mwa Idlib Magharibi kiligeuka na kuwa maandamano dhidi ya matamshi ya khiyana ya serikali ya Uturuki ya kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo cha usiku katika mji wa Armanaz viungani mwa Idlib Magharibi kupinga matamshi ya khiyana ya serikali ya Uturuki ya hivi majuzi kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Deir Hassan viungani mwa Idlib dhidi ya matamshi ya khiyana ya mwisho ya serikali ya Uturuki ya kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad.
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa mpakani wa Atma kupinga matamshi ya khiyana ya serikali ya Uturuki ya hivi majuzi kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad
Kwa nyoyo zenye subira na matarajia mema, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Jordan inamuomboleza mbebaji da’wah, mmoja wa Mashababu wake wema, safi na mchamungu, na wala hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu, kutoka kizazi cha kwanza cha Hizb ut Tahrir, Al-Ustadh mwema:
Ni wakati sasa wa Majeshi ya Pakistan Kutoa Nusrah kwa ajili ya Kusimamisha Khilafah.