Bunge la Congress la Marekani Lamkaribisha Muuaji wa Gaza - Haishangazi
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Umwagaji damu huko Gaza umeendelea kwa muda wa miezi kumi, huku watawala wateja waliofedheheshwa na kudhalilishwa waliopandikizwa kwa Ummah wakiwazuia wale wenye nguvu kuwasaidia, hadi dola ya Kizayuni, kwa msaada wa Marekani, ilipowamaliza wanawake, watoto na wanaume wasiokuwa na silaha wa Gaza.