Jumanne, 13 Shawwal 1447 | 2026/03/31
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kuingizwa kwa Ubadilishaji wa Jinsia kwa Jina la Hadithi ya Sharifa katika Kitabu cha Mafunzo ni Sehemu ya kile kinachoitwa Vita vya Kidemokrasia vya Kimsalaba vya Serikali ya Hasina dhidi ya Uislamu na Waislamu

Jana Januari 23, 2024, kupitia tukio la kufutwa kazi mwalimu mmoja wa Chuo Kikuu cha BRAC kwa kupinga kuingizwa kwa watu waliobadili jinsia (jinsia ya 3 iliyotajwa kwenye kitabu) “Hadithi ya Sharifa” katika darasa la saba kitabu cha “Historia na Sayansi ya Kijamii” cha mtaala mpya, kwa mara nyengine tena msururu wa njama za kuharibu imani na maadili ya kizazi chetu kijacho cha Umma wa Kiislamu umejitokeza.

Soma zaidi...

Serikali ya Misri Yawapa Watu Asali huku Wakinywa Sumu Mikononi Mwake!

Msemaji wa Afisi ya Rais wa Jamhuri, Ahmed Fahmy, alithibitisha kuwa dola hii imepata mafanikio mengi katika ngazi na nyanja zote na kueleza kuwa serikali inajitahidi kukabiliana na changamoto hizo akisema: “Ni jambo la kimaumbile kwa wananchi kuhisi afueni inayotokea wakati utabikishaji umekamilika na juhudi zote kuwekwa wazi.”

Soma zaidi...

Wilayah Sudan: Jukwaa la Kadhia za Umma “Miaka 103 tangu Kuvunjwa kwa Khilafah... Maumivu na Matumaini ya Umma wa Kiislamu”

Kama sehemu ya amali za Rajab, juu ya ukumbusho wa kuvunjwa kwa Khilafah, na chini ya jkichwa “Miaka 103 tangu Kuvunjwa kwa Khilafah... Maumivu na Matumaini ya Umma wa Kiislamu,” Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan ilifanya, na ndani ya msururu wa vikao vitatu vya mwezi wa Rajab katika mji wa Gadharef.

Soma zaidi...

Ushindi wa Mujahidina katika Operesheni ya Al-Maghazi na Mauaji ya Makumi ya Wanajeshi wa Uvamizi ni Pigo Uchungu kwa Umbile Duni la Kiyahudi na Kofi Katika Nyuso za Watawala wa Udhaifu na Utegemezi

Jeshi la umbile la Kiyahudi lilikiri kwamba wanajeshi wake 24 waliuawa, na pengine zaidi, katika operesheni moja iliyofanywa na Mujahidina huko Gaza karibu na kambi ya Maghazi baada ya kulipua kifaru na kuharibu majengo ambayo ilikuwa imeyawekea mtengo wa mabomu, ambamo askari wa uvamizi wa Kiyahudi walizikwa chini ya vifusi.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu