Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 466
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Leo, Jumatano, 18/10/2023, mhalifu wa White House, Biden, alikutana na mhalifu wa Kiyahudi Netanyahu kukagua mabaki ya ardhi ya Gaza ambayo bado hawajayaunguza.
Maandamano ya Kuwanusuru na Kuwaombea Nusra Waislamu nchini Palestina!
Hizb ut Tahrir/ Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina: Enyi Majeshi ya Ummah... Watu wa Gaza Wanakusubirini, Je, Mtaitika?
Hizb ut-Tahrir / Amerika (Washington DC) inazungumzia dori ya jamii ya Waislamu jijini Washington, DC, ikiwemo wajumbe anuwai wa afisi za mabalozi, na kuwasihi kukumbuka wajibu wao kama Waislamu ili kuwalinda ndugu na dada zao Waislamu mjini Gaza.
1. Wazazi wanapaswa kuanzisha majadiliano yote kwa kutumia taswira ifuatayo ili kuwafanya watoto wao waelewe mzozo huu: Unaishi kwa amani ndani ya nyumba yako na ghafla siku moja, miaka 75 iliyopita, watu wengine wanaingia kwa nguvu, wanachukua nusu ya nyumba yako, kuwafukuza Nusu ya familia yako, kuwaweka nusu waliobakia chini kizuizi cha kinyumbani katika nusu iliyobaki ya nyumba.
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi, ambalo linaendelea na kuzidi na hujuma yake inayoendelea dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na ulipuaji wake wa mabomu ambao umeendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Uswidi inaandaa kisimamo kufichua unafiki wa Magharibi na uungaji mkono wake kwa umbile la Kiyahudi
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi, ambalo linaendelea na kuzidi na hujuma yake inayoendelea dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na ulipuaji wake wa mabomu ambao umeendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Uturuki inaandaa mikesha jijini Ankara na Istanbul kwa kichwa:
“Ima ikomboeni Palestina au fungueni njia kwa Umma!”