Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 464
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hafiza Ghaya Arkan, mkuu wa Benki Kuu, alisema katika uwasilishaji wake mbele ya Kamati ya Mipango na Bajeti ya Bunge Kuu la Ututuki mnamo Jumanne, Oktoba 3, kwamba mwaka ujao utashuhudia kupungua kwa mfumko wa bei.
Jumamosi tarehe saba Oktoba mwaka 2023, mashujaa wa ukanda wa Gaza walivuka mipaka ya umbile la Kiyahudi. Walishambulia ngome za adui na hivyo kufanya nyuso zao kuwa nyeusi. Shambulizi hili dhidi ya Jeshi la Kiyahudi limekashifiwa kote duniani ikiwemo Afrika.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi… Kunusuru Watu wa Palestina na Al-Aqsa iliyotekwa Nyara
Mwaka mmoja baada ya serikali ya Kenya Kwanza kuchukua hatamu za uongozi, hali ya kiuchumi na maisha ya raia wa kawaida imezidi kuwa mbaya. Ni dhahiri shahiri kwamba matarajio makubwa ya wananchi kurahisishiwa gharama za maisha na utawala ulioko mamlakani sambamba na kuondokewa na malimbikizi ya deni la taifa, yamegeuka kuwa mangati/mazigazi.
Watu waliamka jana asubuhi, Jumamosi, kwa vilio na mayowe ya umbile la Kiyahudi kufuatia shambulizi la kundi la Mujahidina kwenye makaazi yaliyozunguka Ukanda wa Gaza, wakichukua udhibiti wake, wakikamata idadi kubwa ya askari wa Kiyahudi, na kuwauwa mamia, na kujeruhi zaidi ya elfu yao
Hawa ndio Mayahudi kutoka zama za Banu Qaynuqa, Banu Nadir, Banu Qurayza, na kisha Khaybar. Wanaendelea katika urongo, udanganyifu, uovu, ufisadi, uoga, na udhalilishaji.
Mnamo leo asubuhi, Jumamosi, 07/10/2023, siku moja baada ya kumbukumbu ya Vita vya Oktoba, mashujaa wa Ukanda wa Gaza walizindua shambulizi la ghafla na la kufuatana ardhini, baharini, na hewani, pamoja na kurusha makombora 5,000 na mabomu ndani ya dakika 20 za kwanza, katika operesheni inayoitwa kimbunga cha Al-Aqsa.
Katika dakika chache mnamo asubuhi ya Jumamosi, Oktoba 7, 2023, nguzo za umbile katili la Kiyahudi zilitikiswa, na jeshi lake la kioga likakimbia licha ya vifaa vyake, ala na nyumba za chuma, mbele ya kundi la Mujahidina ambao walivamia maeneo yake yaliyo nyakuliwa ardhini, baharini, na hewani, na vifaa vya kawaida, wakimtegemea Mwenyezi Mungu na kuwa na imani katika Nasr yake (ushindi).
Juhudi za upinzani nchini Palestina zililipuka mnamo Jumamosi asubuhi kwa shambulizi la alfajiri la kushtukiza kutoka Gaza. Mapigano na wavamizi wa Kiyahudi yalitokea, na kuua kadhaa na kuwakamata wengi zaidi.