Al-Waqiyah TV: Je, Mnataka Jumuiya ya Kimataifa ikutendeeni Haki?!
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Al-Waqiyah TV:
Je, Mnataka Jumuiya ya Kimataifa ikutendeeni Haki?!
Al-Waqiyah TV:
Je, Mnataka Jumuiya ya Kimataifa ikutendeeni Haki?!
Kwa mwaliko kutoka kwa Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon, Swala ya Ijumaa iliswaliwa pamoja na kikao cha utafutaji nusra katika "Uwanja wa Al-Nour" jijini Tripoli Al-Sham kwa kichwa "Nusra kwa watu wetu huko Gaza na kuyaomba nusra majeshi ya Umma na kuyataka kuvunja mipaka na kutangaza jihad.”
Kwa kuwaombea nusra Waislamu kupitia kuangushwa viti vya watawala wasaliti na kusonga kwa majeshi ili kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wahalifu.
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa msururu wa amali za kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi katili.
Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa maandamano ya halaiki yenye kichwa "Ikomboeni Palestina" katika mji wa Amsterdam mnamo Jumapili 22/10/23 saa nane adhuhuri na kukamilika kwa kuyaomba majeshi na viongozi wake kutaharaki na kusonga kwa ajili ya kuikomboa Ardhi iliyobarikiwa ya Palestina.
Hizb ut Tahrir / Uingereza ilifanya maandamano nje ya ubalozi wa Misri na Uturuki jijini London leo (21 Oktoba 2023).
Bango letu la kuu linafanya mukhtasari ni nini maandamano haya yanahusu - "Majeshi ya Waislamu! Waokoeni watu wa Palestina”.
Mbele ya ushujaa waliouonyesha Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kudumu kuushambuliwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake na ulipuaji wake mabomu unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 33,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa amali mbele ya Ubalozi wa Marekani jijini Ankara chini ya kichwa:
“Niko hapa kama Muislamu… Mfurusheni Myahudi Bliken!”
Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wa waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 23 elfu hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali pana Chini ya kichwa:
“Gaza Haifi Maadamu Nyinyi muko Hai!”
Waislamu wa Gaza wanakabiliwa na mauaji ya kimbari na umwagaji damu ambao umepitiliza mikononi mwa umbile halifu la Kiyahudi. Maelfu ya wanawake wasio na hatia na watoto wameuawa. Wakati huo huo, Waislamu katika Ukingo wa Magharibi wangali wanauawa na kutishiwa na genge la Mayahudi.