Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 452
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan imeandaa kampeni kwa kichwa, “Umma Mmoja… Khilafah Moja” katika mitandao ya kijamii.
Kwa Mabadiliko ya Kweli... Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Baada ya miezi mitatu ya mauaji, uharibifu, ufurushaji, uporaji wa mali ya umma na ya kibinafsi, na uharibifu wa miundombinu, Marekani imerejea kuzungumza kuhusu majadiliano kati ya pande zinazozozana nchini Sudan.
Katika ripoti ya kushangaza ya vyombo vya habari juu ya ukamataji na maandamano ambayo yamefanyika katika maeneo yaliyokombolewa kwa zaidi ya miezi miwili, waangalizi wa France 24 walitushangaza kwa mkusanyiko wa uwongo wa makusudi ambao chaneli kama France 24 haifai kufanya isipokuwa ikiwa wahariri wake bado wangali chini ya athari ya mshtuko wa maandamano yaliyozuka katika nchi yao iliyokumbwa na mgogoro.
Maoni ya Habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Kwa Mabadiliko ya Kweli... Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Mwenyezi Mungu ni mkubwa kuliko Mayahudi na ufisadi wao na uadui wao... Mwenyezi Mungu ni mkubwa kuliko Marekani na kiburi chake... Mwenyezi Mungu ni mkubwa kuliko watawala vibaraka wa Waislamu na uatelekezaji na khiyana zao.
"Kiongozi wa Palestina anatoa wito kwa ulimwengu 'kutulinda,' na watu wake wanajibu kwa kicheko cha uchungu" kwa mujibu wa CNN mnamo Julai 14 baada ya Rais wa Palestina Mahmoud Abbas kuzuru Jenin muda mrefu baada ya Vikosi vya Ulinzi vya 'Israel' kumaliza mauaji yao na kuondoka eneo hilo.
Marekani iliondoa vizuizi vyote wakati Waziri Mkuu wa India Narendra Modi alipozuru Marekani mwishoni mwa Juni katika ziara rasmi ya kiserikali. Modi, ambaye wakati fulani alinyimwa visa ya kusafiri kwenda Marekani kwa sababu ya wasiwasi juu ya haki za binadamu, alikula na kulala katika Ikulu ya White House na hata kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Congress.
Kitabu cha Fahamu za Kisiasa za Hizb ut Tahrir
Kwa mara ya tano mfululizo, Rais Kais Saied alitoa wito upya wa kufanya kongamano la kikanda ili kujadili suala la uhamiaji usio wa kawaida na kuanzisha mpango wa pamoja wa hatua za kutatua mgogoro huo.