Sheikh Mkuu wa Al-Azhar atambua Uwepo wa Umbile la Kiyahudi na Ayaondolea Majeshi ya Waislamu Wajibu wa Kuikomboa Bayt al-Maqdis na Viunga vyake
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sheikh wa Al-Azhar ametoa wito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na jamii ya kimataifa kuharakisha kuitambua dola huru ya Palestina ambayo mji mkuu wake ni Al-Quds.



