Alhamisi, 22 Shawwal 1447 | 2026/04/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uhakiki wa Habari 22/02/2023

Bunge la Kitaifa la Pakistan lilipitisha Mswada wa Nyongeza ya Fedha uliowasilishwa mnamo Februari 15, ambao utatekeleza ushuru wa juu. Mswada huo unapendekeza ongezeko la ushuru wa mauzo kutoka 17% hadi 18%, ushuru wa uagizaji bidhaa za anasa kutoka 17% hadi 25% na nauli za juu za usafiri wa anga.

Soma zaidi...

Palestina Inakombolewa kwa Majeshi, Sio kwa Makongamano na Sheria ya Kimataifa

“Wakati umewadia wa amani...” Risala za Al-Sisi kutoka kwa Kongamano wa Kuinusuru Al-Quds, chini ya kichwa hiki Gazeti la Al-Dustour liliandika mnamo Jumapili 12/2/2023, kuwasilisha kile lilichokiita risala za rais wa Misri, ambaye alisema: Kadhia ya Palestina bado ni kipaumbele kwa Misri na Waarabu.

Soma zaidi...

Tetemeko la Ardhi Limefichua Sura Halisi ya Jumuiya ya Kimataifa na Mashirika Yake ya Kimataifa

Watu wa Ash-Sham waliamka alfajiri siku ya Jumatatu, 6/2/2023 na tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa nyuzi 7.8 kwenye kipimo cha Richter, ambalo lilidumu kwa karibu dakika mbili, na kuacha uharibifu wa kutisha katika maeneo mengi ya miji ya Syria, kwani idadi ya waliokufa katika tetemeko hilo ilifikia 3,581, na zaidi ya majeruhi 12,400.

Soma zaidi...

Ajenda na Genge la (LGBTQ) ni Matunda Mabovu ya Mfumo Muovu wa Kirasilimali

Januari 6 mwaka huu mwili wa Edwin Chiloba mwenye umri wa miaka 24 mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Eldoret, ulipatikana ndani ya sanduku ukiwa umeshindiliwa vitambara mdomoni na puani mwake. Kifo chake kimezuwa gumzo ndani na nje ya nchi haswa katika vyombo vya habari na katika mitandao ya kijamii kwa sababu Chiloba ni mtetezi wa LGBTQ+

Soma zaidi...

Mustakabali wa Vizazi vya Vijana nchini Tunisia... Pazia la Sheria Fisadi na Mfumo wa Elimu Uliofeli Yaonyesha Mgogoro wa Kimfumo

 Wizara ya Wanawake na  Watoto ilitangaza matokeo ya ripoti ya takwimu juu ya arifa za hali zilizo hatarini za watoto na kuwatishia watoto kwa sheria ya miaka 2020 na 2021, iliyowakilishwa na uzinduzi wa jukwaa la ulinzi wa watoto ambalo hutoa uwezekano wa arifa ndogo

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu