Uhakiki wa Habari 15/02/2023
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waziri wa Fedha wa Pakistan Ishaq Dar alisema Islamabad imekubali matakwa ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) kuhusu mageuzi ya kiuchumi baada ya ziara ya siku 10 ya mfuko huo nchini Pakistan.



