Alhamisi, 22 Shawwal 1447 | 2026/04/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kuhitimu kwa Maelfu ya Waliohifadhi Qur'an hakutabadilisha hali ya Umma wa Kiislamu isipokuwa wawe miongoni mwa wale wanaofanya kazi ya kusimamisha Khilafah

Katika miaka ya hivi karibuni, hamu ya Waislamu katika kuhifadhi Qur'an Tukufu imeongezeka sana, na kundi la watoto wakiume na mabinti watiifu wa Umma wa Kiislamu limejipanga kuanzisha jumuiya zaidi za Qur'an na kujishughulisha na kuwafundisha wanafunzi Tajweed ya Qur’an

Soma zaidi...

“...ipate kushinda dini zote.”

Katika hotuba ya Jaafar bin Abi Talib, Mwenyezi Mungu amuwie radhi, aliyoitoa mikononi mwa Najash: "كنّا قوما أهل جاهليّة نعبد الأصنام، ونأكل الميتة، ونأتي الفواحش، ونقطع الأرحام، ونسيء الجوار، يأكل القويّ منّا الضّعيف..."  “Sisi tulikuwa ni watu wa jahiliya tukiabudu masanamu, tukila mfu, tukifanya uasherati, tukikata kizazi, tukiwatendea uovu majirani, na mwenye nguvu akimdhulumu mnyong...”

Soma zaidi...

Badala ya Kuwaita Mabalozi, Viota vya Ugaidi, hadi Wizarani, Wanapaswa Kufukuzwa Mara Moja

Uturuki: Mabalozi wa nchi 9, zikiwemo nchi zilizosimamisha kazi za ubalozi wao nchini Uturuki kwa kisingizio cha tishio la vitendo vya kigaidi, waliitwa kwa Wizara ya Mambo ya Nje. Mabalozi hao waliambiwa kwamba "Vitendo kama hivyo vya wakati mmoja havijumuishi njia ya usawa na ya busara."

Soma zaidi...

Musharraf atajibu kwa Uhaini wake katika Mahakama ya Mwenyezi Mungu (swt) Je, Watawala wa Sasa Watazingatia?

Mnamo tarehe 5 Februari 2023, baada ya kuugua kwa muda mrefu, Musharraf aliaga dunia katika hospitali ya kibinafsi jijini Dubai. Jenerali Pervez Musharraf alichukua mamlaka baada ya mapinduzi kwa serikali ya Nawaz Sharif mwaka wa 1999. Utawala wa Jenerali Musharraf unaweza kutajwa kuwa enzi mbaya zaidi ya kujisalimisha kwa Marekani.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu