Jumapili, 27 Muharram 1448 | 2026/07/12
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hotuba ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan katika Mkutano wa Waandishi wa Habari Uliofanywa na Hizb katika Taasisi ya Taiba ya Vyombo vya Habari yenye kichwa: “Uwasilishaji wa Rasimu ya Katiba inayosuluhisha Migogoro, yenye Kuleta Makundi yote pamo

Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu. Na rehma na amani zimshukie mjumbe aliyetumilizwa kama rehma kwa walimwengu, bwana wetu na kipenzi chetu Muhammad (saw), kiongozi wa Njia Iliyo Nyooka, na ahli zake watukufu na maswahaba zake, na anayefuata njia yake na akafuata nyayo zake mpaka Siku ya Kiyama.

Soma zaidi...

Hatua za Kwanza za Kupiga Marufuku Shule za Quran Uholanzi

Serikali ya Uholanzi inachukua hatua dhidi ya mashirika yasiyo rasmi ya elimu ya Kiislamu kama vile shule za Qur'an na shule nyingine za kibinafsi ambapo watoto wanaweza kujifunza Kiarabu na Quran. Hii inahusisha safu nzima ya hatua za vikwazo ili kuingilia kati, kufuatilia na kubadilisha mtaala wa elimu ya Kiislamu.

Soma zaidi...

Maneno Hayatoshi Kuuadhibu Utawala wa Modi wenye Chuki na Uislamu

Hivi majuzi, serikali ya Narendra Modi ilijikuta matatani baada ya baadhi ya wanachama wake kutoa matamshi ya dharau dhidi ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw). Katika nia ya kujinasua kutoka kwa ghadhabu inayozidi kuongezeka katika ulimwengu wa Kiislamu, Modi alichukua hatua haraka kuwasimamisha kazi maafisa wa BJP wenye hatia lakini hii haikusaidia kuzuia kashfa dhidi ya serikali yake.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu