Musiwaunge Mkono Madhalimu
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais Recep Tayyip Erdogan anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO), ambayo inafanya mkutano wake wa 22, kwa mara ya kwanza.
Rais Recep Tayyip Erdogan anahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO), ambayo inafanya mkutano wake wa 22, kwa mara ya kwanza.
Zaidi ya Waindonesia milioni 50 wa umri wa uzalishaji wamo katika kizazi cha "sandwich". Wako chini ya mzigo wa kiuchumi wa kulazimika kuwasimamia watoto wao na wakati huo huo kusimamia mahitaji ya kizazi kilicho juu yao.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Septemba 2022 M.
Muendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika wilaya na mikoa mbali mbali ya nchi ili kujenga rai jumla yenye ufahamu juu ya hukmu za Uislamu na suluhu zake zinazohusiana na mifumo mbali mbali ya maisha, ambazo zimeshughulikia mgogoro ya utawala na mipango inayopendekezwa kuutatua, na maafa ya mafuriko na mvua zilizonyesha katika mikoa mbalimbali nchini...
Seneta Mushtaq Ahmad mnamo Jumatatu, 5 Septemba 2022, aliwasilisha mswada wa marekebisho katika Sheria ya Ulinzi wa Wanaobadili jinsia kwa Kamati ya Kudumu ya Seneti ya Haki za Kibinadamu.
Mahakama ya Upeo imetoa uamuzi wa kuusambaratisha mradi wa ujenzi wa madaraja lakini ikafungua dirisha kwa vinara wa makubaliano ya ‘handshake’ kuanzisha marekebisho mpya ya kikatiba. Kwenye uamuzi wake wa kihistoria, siku ya Alhamisi 31 Machi, 2022 jopo la majaji saba lilibatilisha hoja tano za mahakama ya rufaa zilizotumia kupinga mabadiliko ya kikatiba kama yalivyopendekezwa na mradi wa BBI.
Kwa kushirikiana na umbile la Kiyahudi na uhali wake, vikosi vya Mamlaka ya kihalifu ya Palestina (PA) huko Nablus, jana usiku, tarehe 9/19/2022, walitekeleza uhalifu wao mbaya wa kumuua kijana Firas Yaish na kuwajeruhi wengine kadhaa, wakati wa uwakandamizaji wao wa waandamanaji wanaopinga kukamatwa kwa Mujahidina Musab Shtayyeh na Brigedia Jenerali Tabila ambao wanatafutwa na umbile la Kiyahudi wakati huo huo vikosi vya uvamizi vilikuwa vikikamata watu katika miji ya Ukingo wa Magharibi, na walowezi walikuwa wakivamia Mji wa Mkongwe wa Hebron wakiwa na ulinzi wa jeshi lao.
Katika mkutano na waandishi wa habari mnamo Septemba 14, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Ned Price alisema: “Tumeeleza waziwazi kwamba hatuangalii kutambuliwa. Tunaangalia ni wapi - yalipo maslahi yetu, ushirikiano wa kivitendo pekee, ushirikiano wa kivitendo ambao tunatumai utaisukuma Taliban katika mwelekeo sahihi, na tutaendelea kushirikiana nao kwa msingi huo hadi tuone maboresho katika maeneo ambayo tunajali zaidi kuyahusu.”
Mwenyezi Mungu awarehemu mashahidi wetu, na Mwenyezi Mungu awaponye majeruhi wetu, Ina lilahi Wa Ina Ilaihi Raji’oon, La Hawla Wa La Quwata Ila Billah, Hasbuna Allah Wa Ni’ma Al-Wakeel.
Uvamizi wa umbile la Kiyahudi dhidi ya Umma wa Kiislamu bado unaendelea na unakua siku baada ya siku, ukiwa na uungaji mkono wa Marekani, uhalalishaji mahusiano wa Waarabu na uratibu wa usalama pamoja na Mamlaka ya khiyana ya Palestina (PA).