Vichwa vya Habari 02/09/2022
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Idara ya upelelezi ya nchi ya Ufaransa imetayarisha faili za Waislamu wengi kwa kueleza uungaji mkono wao wa Jean-Luc Melenchon, kiongozi wa chama cha La France Insoumise, ambaye alionyesha upinzani dhidi ya chuki dhidi ya Waislamu, kulingana na ripoti ya vyombo vya habari.



