Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 394
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mtu aliyepewa jukumu la kuandika upya katiba ya Tunisia na Rais Kais Saied amesema kwamba atawasilisha rasimu iliyoondolewa maregeleo yoyote ya Uislamu, akisema ilikuwa ni kwa ajili ya kuzuia "itikadi kali" za kisiasa.
Msururu wa kufuru umeenea kutoka Denmark na Ufaransa, hadi sehemu nyingine za Ulaya na kisha Marekani. Sasa imeenea hata kwa washirikina Mabaniani duni.
Mnamo 1540 M, mtawala wa Kiislamu, Sher Shah Suri, alichapisha Rupiya ya fedha, yenye uzani wa 178 Troy grains, ambao ni gramu 11.5.
Dola ya Kibaniani imeishambulia wazi wazi heshima ya Mtume ﷺ, huku ikiyasaidia makundi yake yenye silaha kuvunja misikiti na kuwachinja Waislamu.
Ili Kutazama Sehemu za Miezi Iliyopita Bonyeza Hapa
Je, hotuba hii inaelekezwa kwa umma pekee, yaani je, Mwenyezi Mungu ataunusuru Umma wakati ambao Uislamu unatabikishwa ndani yake?
Katika kesi kuhusiana na Kongamano la Khilafah, lililopangwa kufanyika mnamo Machi 5, 2017 jijini Istanbul lakini halikufanyika kutokana na kukataa kwa idara ya raia, Mahakama ya Rufaa ilikataa pingamizi ya uamuzi wa adhabu wa mahakama ya eneo bila kutoa sababu yoyote.
Shirika la Kuchunguza Haki za Binadamu la Syria liliripoti kwamba familia 4 ziliondoka kwenye kambi ya al-Rukban, iliyoko kwenye mpaka wa mashariki wa Syria na Jordan na Iraq, na limenakili kuondoka kwa familia 18 na vijana 19 katika makundi sita hadi maeneo yanayodhibitiwa na serikali,