Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 393
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Juni 2022 M.
Katika wiki zilizopita, kumekuwa na zogo kuhusu suala la usalama wa chakula, ambalo linasemekana kuchochewa na vita vya Urusi na Ukraine.
Mnamo tarehe 14 Mei, gazeti la Times la India lilichapisha ripoti kuhusiana na jinsi viwango vya mfumko wa bei vimeathiri pakubwa maisha ya kiuchumi ya wanawake wa Kiislamu na kuwaacha katika hatari ya matatizo makubwa ya kiafya.
Mwenyezi Mungu (swt) amewaamrisha waja Wake kuzikinga familia zao kutokana na Moto kwa kujifunga juu ya yale Aliyotuamrisha kuyafanya na kwa kujiepusha kutokana na yale Aliyotukataza.
Mauaji ya kinyama katika shule moja ya msingi ya Texas yamevuta hisia tena kwa hamasisho lenye nguvu la kumiliki bunduki nchini Marekani,
Uchumi wa Pakistan unadorora kutokana na biashara ya kimataifa kuegemezwa juu ya na dolari, deni lenye riba na uagizaji ghali wa mafuta na mashini kutoka nje ya nchi.
Hizb ut Tahrir iliandaa kisimamo mjini Gaza Al-Hishem / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) cha kuyaomba nusra majeshi ya Umma kuunusuru Msikiti Al-Aqsa uliobarikiwa na kuutakasa kutokana na najisi ya Mayahudi.
Ujumbe ambao Waislamu wa Al-Qudsi waliuelekeza kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu wakati wa ziara yake ya kufedhehesha katika Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa...
Hizb ut-Tahrir / Sweden iliandaa kisimamo mbele ya Bunge la Sweden kupinga kufungwa kwa shule za Waislamu nchini Sweden.