Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
H. 28 Rajab 1445 | Na: 1445 / 22 |
M. Ijumaa, 09 Februari 2024 |
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Sudan yafanya Matembezi katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah
(Imetafsiriwa)
Katika kuhitimisha amali za kumbukumbu ya miaka 103 ya maafa ya kuvunjwa Khilafah, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Sudan ilifanya matembezi makubwa katika mji wa Gadharef, baada ya swala ya Ijumaa mnamo tarehe 28 Rajab 1445 H, sawia na tarehe tisa Februari 2024 M, ambapo matembezi hayo yalianza mbele ya msikiti wa marehemu Sheikh Abdul Qadir Abdul Mohsen (Al-Sikka Hadid) katika soko la Gadharef, ambapo washiriki waliimba nyimbo kwa sauti za juu kama vile: Umma unataka tena Khilafah), (Dola zote zimefeli, Khilafah ndio suluhisho), (Kiongozi wetu milele ni bwana wetu Muhammad).
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari/sudan/3796.html#sigProIde3030aa6d3
Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: |