Kutokana na Kuendelea kwa Mzozo nchini Yemen, Wahanga Wapya Wanaongezwa kwenye Orodha ya Misiba na Huzuni
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Siku ya Alhamisi usiku, 29 Ramadhan, 1444 H, watu 78 waliuawa na zaidi ya mia moja kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na kesi za walio mahututi, katika shule ya Bab Al-Yaman katika mji mkuu, Sana'a, wakati wa kusambaza zaka za baadhi ya wafanyibiashara kwa watu.