Kwa Khilafah Rashida ya Pili kwa Njia ya Utume, Watu Huyaamini Matibabu ya Wagonjwa Wao
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mkasa mpya nchini Yemen unaregea na kuibua hali ya hasira na kutaka maafisa wawajibike, baada ya vifo vya watoto 18 wanaougua saratani ya damu katika hospitali ya Kuwait jijini Sana'a, baada ya kupatiwa dawa zilizokwisha muda wake.