Katika kumbukumbu ya Miaka Sita ya Mapinduzi Yao Mahouthi Wanabinafsisha Umeme Baada ya Kupandisha Bei za Bidhaa Tanzu za Mafuta na Gesi!
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mahouthi walisherehekea kumbukumbu ya miaka sita ya kuingia kwao Sanaa mnamo Septemba 21, 2014 M, na kama kawaida yake, kwa hotuba ya kurudiwa rudiwa ya kuchosha ya bwana wao duni na butu zaidi Abdul-Malik al-Houthi,