Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 273
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 273
Vichwa Vikuu vya Toleo 273
Vichwa Vikuu vya Toleo 272
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Syria iliandaa maandamano katika Makutano ya Karameh kwa kichwa, “Hakuna Uwokovu kwa Mapinduzi ya Ash Sham Isipokuwa kwa Kusimamisha Khilafah ya Kiislamu.”
Waziri Mkuu anajaribu kunasibisha Waislamu na ongezeko la chuki dhidi ya mayahudi kwa kutumia dhana ya “uhamiaji”.
Maandamano ya watu wengi yalizinduliwa baada ya sala ya Ijumaa kwenye msikiti katika kambi ya Atma, makutano ya barabara ya Karameh nje kidogo ya mji wa Idlib yenye jina "Hakuna Uokovu kwa Mapinduzi ya Ash Sham Isipokuwa katika Utawala wa Uislamu".
Vichwa Vikuu vya Toleo 271
Minbar ya Ummah: “Maandamano katika Kufr Taal katika kuunga mkono Kafrouma na Al Ma'ara wakitoa mwito wa kuundwa kwa vikundi vya Kujitegemea kama njia mbadala ya mfumo wa sasa wa vikundi.”
Iliyotolewa na Ismail Al-Wahwah (Abu Anas)
Maandamano ya usiku mji wa Atma nje mwa Idlib kwa kichwa "Hakuna Uokovu kwa Mapinduzi ya Ash-Sham Isipokuwa katika Utawala wa Uislam."
Vichwa Vikuu vya Toleo 270