Ukiukaji wa Makubaliano; Tabia ya Kale ya Amerika!
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ripoti ya hivi karibuni ya Kikundi cha Utafiti cha Afghanistan (ASG), iliyo idhinishwa na Bunge la Congress la Amerika, inapendekeza utawala mpya wa Amerika kuongeza makataa ya vikosi vya Amerika kujiondoa Afghanistan,