Kufa Shahidi kwa Syed Ali Gilani Kunahitaji kwamba Takbir ya Ushindi na Bendera ya Kalima Zipazwe katika Kashmir Iliyokaliwa, baada ya Kukombolewa Kwake na Jeshi la Pakistan kwa Jihad Iliyobarikiwa.
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa nyoyo nzito, Waislamu nchini Pakistan na Kashmir Iliyokaliwa walisikia habari za kuuawa shahidi kwa Syed Ali Gilani, huko Srinagar, mnamo Jumatano tarehe 1 Septemba 2021, saa 10.30 jioni.



