Vichwa vya Habari: 06/08/2022
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Benki ya Uingereza mnamo Alhamisi ilitetea uamuzi wake wa kuongeza viwango vya riba kwa haraka zaidi katika kipindi cha miaka 27,
Benki ya Uingereza mnamo Alhamisi ilitetea uamuzi wake wa kuongeza viwango vya riba kwa haraka zaidi katika kipindi cha miaka 27,
Mnamo Julai 4, Shirika la Habari la Fergana, likinukuu Afisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu na Huduma ya Usalama ya Serikali, liliripoti: “Mnamo Julai 1-2, maandamano makubwa yalifanyika kupinga kuanzishwa kwa marekebisho ya Katiba ambayo yangeinyima jamhuri hadhi yake ya kisheria.
Uongozi wa kijeshi wa Pakistan umevuka mipaka yote ili kuthibitisha manufaa yake kwa bwana wake, Marekani. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari PR-64/2022-ISPR,
Muendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika maeneo tofauti ya nchi ili kupata maoni ya umma kuhusu hukmu za Uislamu (Ahkaam Shariah) na masuluhisho yake yanayohusiana na mifumo tofauti tofauti ya maisha,
Ni wakati sasa wa Majeshi ya Pakistan Kutoa Nusrah kwa ajili ya Kusimamisha Khilafah.
Hizb ut Tahrir Wilayah ya Kenya imechapisha toleo jipya la Jarida la UQAB kwa ajili ya mwezi wa Agosti 2022 M.
Baraza la mawaziri la federali lilikuwa limeidhinisha agizo mnamo Alhamisi la kuuza hisa za makampuni ya mafuta na gesi na mitambo ya kuzalisha umeme inayomilikiwa na serikali kwa Imarati ili kukusanya dolari bilioni 2 hadi bilioni 2.5 ili kuepusha kushindwa kulipwa madeni.
Swali langu ni: ikiwa wanazuoni wamekubaliana kwamba, yeyote anayepinga kuwa Bismillahi sio aya katika Al-Faatiha basi hawi kafiri. Kwa sababu (hiyo Bismillahi) imethubutu kwa njia ya Aahaad (kupokewa na watu wachache) na wala sio kwa njia ya Tawaatur (kupokewa na watu wengi sana)…
Kufuatia kuporomoka kwa Jamhuri na kumalizika uvamizi wa kimabavu, masekula walipatwa na mshtuko wa ubongo kwani tayari walikuwa wamekata uhusiano wao na Mwenyezi Mungu (swt) kwa kujikinga mikononi mwa dola za Kimagharibi;