Wilayah Pakistan: Chini ya Uislamu, Pakistan Itakwepa Mtego wa Madeni!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pakistan hutumia zaidi ya nusu ya ushuru unaokusanywa kwa malipo ya riba.
Pakistan hutumia zaidi ya nusu ya ushuru unaokusanywa kwa malipo ya riba.
Gazeti la Khaleej Times nchini UAE liliripoti kwamba kuna ongezeko la kutia wasiwasi la watoto wanaokimbia nyumbani.
Mfumo wa Kirasilimali unaotawala dunia nzima leo ingawa unapiga domo tupu kuhusu kuyajali mazingira kiuhalisia unalenga kuongeza uzalishaji na kuwatajirisha kipote cha mabwenyenye wachache kwa gharama yoyote ile.
Waziri Mkuu Imran Khan mnamo Jumatano alihutubia taifa kutangaza kifurushi cha kupunguza hali ngumu ya umma ulioathiriwa na mfumko wa bei.
Mfumo wa Upendeleo Jumla (GSP) kwa bidhaa za Bangladesh katika soko la Amerika ulisimamishwa mnamo mwaka wa 2013. Mojawapo ya masharti ya kuregesha manufaa ya GSP ilikuwa kukomeshwa kwa ajira ya watoto.
COP26 itazihimiza nchi 195 kutekeleza ahadi walizotoa walipokuwa wakikubaliana juu ya Mkataba wa Paris wakati wa COP21 mwaka 2015.
Jioni ya mnamo Oktoba 29, Odiljon Jalilov, mwanachama wa Hizb ut Tahrir/Sweden, alipatikana na polisi na kuwekwa chini ya ulinzi akisubiri maandalizi ya kuhamishwa hadi Uzbekistan.
Kongamano moja lilifanyika jijini Sana'a tarehe 28/10/2021, lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanazuoni wa Yemen na Mamlaka Kuu ya Wakfu chini ya kichwa "Umoja wa Kiislamu... Fursa na Changamoto".
Pentagon hivi karibuni ilitangaza kwamba shambulizi la droni za Amerika jijini Kabul mnamo tarehe 29 Agosti na kuua raia 10 wasio na hatia, wakiwemo wanawake na watoto, lilikuwa kosa la kujutia lakini halikuwa utovu wa nidhamu wala ukiukaji wa sheria.