Miaka 23 ya Kifungo kwa Maneno: “Mola wangu ni Mwenyezi Mungu!”
- Imepeperushwa katika Urusi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 10 Februari 2020, Mahakama Kuu ya Kijeshi ya Wilaya ya Yekaterinburg ili muhukumu Eduard Nizamov, kwa kosa la kuandaa amali za Hizb ut Tahrir nchini Urusi, hadi miaka 23 ya kifungo katika ulinzi wa hali ya juu wa adhabu.



