Ijumaa, 08 Jumada al-thani 1447 | 2025/11/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Waislamu na Wanadamu kwa Jumla ni Wakati wa Kukumbuka Siku Hii

Mwishoni mwa mwezi huu mtukufu wa Rajab, mataifa ya kirasilimali na ya kikoloni baada ya kupangiliwa vizuri kwa njama na mikakati ya muda mrefu yalifaulu kuivunja Dola ya mwisho ya Kiislamu ya Khilafah Uthmaniya ambayo makao yake makuu yalikuwa nchini Uturuki, tukio ambalo lilifikia kileleni mwake mwishoni mwa Rajab 1342 H / Machi 1924 M.

Soma zaidi...

Uislamu Unakataza kabisa Muungano wa Shughuli za Kijeshi na Mipango ya Mafunzo ya Kijeshi Pamoja na Dola ya Kikafiri ya Kivita, Amerika, ambayo husababisha Kuvuja kwa Siri za Kijeshi, na Kuchukua Maelezo na Kuajiri Maafisa wa Kijeshi kama Mawakala wa

Mafunzo ya maafisa wetu wa Kijeshi katika taasisi za kijeshi huko Amerika ndio zana madhubuti za Amerika za kutafuta maelezo na kuwaajiri mawakala ndani ya uongozi wa jeshi.

Soma zaidi...

Pamoja na Kampeni ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Dhidi ya Ukatili wa Uchina kwa Waislamu Eneo la Mashariki Turkestan

Uchina kama taifa la kirasilimali haijihusishi tu kuzitumia kilafi rasilimali za kiasili za mataifa yanayo endelea hususan bara la Afrika na kulazimisha juu yao mzigo wa mikopo usio himilika, pia inatekeleza kampeni ya ghasia, vurugu na ukatili dhidi ya Uislamu na Waislamu wa Turkestan Mashariki, eneo ambalo lilivamiwa kinguvu na kutekwa na Uchina.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu